CCM YAMPITISHA JOB NDUGAI KUGOMBEA NAFASI YA USPIKA WA BUNGE. | MASWAYETU BLOG
Breaking News

Monday, November 16, 2015

CCM YAMPITISHA JOB NDUGAI KUGOMBEA NAFASI YA USPIKA WA BUNGE.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mh. Job Ndugai ameteuliwa kuwa mgombea rasmi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM). Wabunge wateule wa CCM wamempitisha Job Ndugai kuwania uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya wenzake wawili kujitoa. Via>>EA...

CCM YAMPITISHA JOB NDUGAI KUGOMBEA NAFASI YA USPIKA WA BUNGE.

google+

linkedin

MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0768 260834. Soma Zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    IDADI YA WASOMAJI

    61,120