Baadhi ya Matukio ya Picha Kutoka Dodoma Bungeni | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...

Wednesday, November 18, 2015

Baadhi ya Matukio ya Picha Kutoka Dodoma Bungeni

am3
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na Mbunge wa Viti Maaalum (CCM) Munde Tambwe wakizungumza jambo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am2
Wabunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama (kushoto), Nzega Vijijini (CCM) Dkt. Hamis Kigwangala (katikati) na Sixtus Mapunda wa Mbinga Mjini (CCM) wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am4
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Busega Raphael Chegeni nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am5
Wabunge wa Viti Maalum (CCM) wakiingia katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma tayari kuanza mkutano wa kwanza wa Bunge hilo leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am6
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM) Andrew Chenge (kushoto) na Mbunge wa Mwanga (CCM) Prof. Jumanne Maghembe wakiiingia wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma tayari kuanza mkutano wa kwanzawa Bunge leo (Jumatano Novemba 18, 2015).
am1
Wabunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amina Mollel (kushoto) na Stella Ikupa Alex (kulia) akiwasalimiana na mmoja wa wabunge baada ya kumalizika kwa kikao cha Bunge. Picha na Hussein Makame.

google+

linkedin

MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0768 260834. Soma Zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    IDADI YA WASOMAJI